Tuesday, 6 September 2016

TOP 10 ya wanasoka wanaolipwa mkwanja mrefu

Mtu wangu wa nguvu najua unajua kwamba mchezo wa soka ndio mchezo maarufu zaidi, kama ambavyo ulivyo maarufu na kupendwa na watu wengi ni kawaida kuona wanasoka pia wakilipwa pesa nyingi katika vilabu vyao hata katika mikataba yao ya matangazo ya kibiashara.
Leo September 6 2016 mtu wangu wa nguvu nimekutana na list ya TOP 10 ya mastaa wa soka wanaongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu, list kutoka mtandao wa www.alux.com hadi kufikia August 2016 hii ndio ilikuwa list ya wanasoka wanaoongoza kwa kulipwa mkwanja mrefu.

10. James Rodriguez ($21 million zaidi ya Tsh bilioni 45)

james-rodriguez-top-model_adpo15cd890c1rrua6un2uy88-768x461
James Rodriguez

9. Cesc Fabregas ($21 million bilioni zaidi ya Tsh bilioni 45)

Cesc-x-Beats-Hear-What-You-Want-1-768x575
Cesc Fabregas

8. Eden Hazard ($22 million zaidi ya Tsh bilioni 48)

hazard1-768x435
Eden Hazard

7. Luis Suarez ($23 million zaidi ya Tsh bilioni 50)

13934991186929-768x511
Luis Suarez

6. Sergio Aguero ($24 million zaidi ya Tsh bilioni 52)

pepsiAGUERO-DC-PORTRAIT_LR-768x765
Sergio Aguero

5. Wayne Rooney ($26 million zaidi ya Tsh bilioni 56)

wayne_rooney_fc247_1_18948-768x480
Wayne Rooney

4. Gareth Bale ($34 million zaidi ya Tsh bilioni 74)

Gareth-Bale-on-holiday-in-Marbella-768x534
Gareth Bale

3. Neymar Jr. ($36 million zaidi ya Tsh bilioni 78)

Neymar-Jr-8450_klein-768x512
Neymar Jr.

2. Lionel Messi ($77 million zaidi ya Tsh bilioni 168)

tumblr_mcauq5tifs1r38yfko1_1280-768x489
Lionel Messi

1. Cristiano Ronaldo ($82 million zaidi ya Tsh bilioni 179)

wx-768x497 (1)
Cristiano Ronaldo

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM