Thursday, September 29, 2016

TAZAMA VIBONZO VYA UTANI WA SIMBA NA YANGA VILIVYOTAWALA MTANDAONI KABLA YA MECHI YAO OKTOBA 1Jumamosi ya Oktoba 1, 2016 mashabiki wa soka Tanzania watapata nafasi ya kutazama mchezo wa derby kati ya Simba na Yanga, kwa mujibu wa baadhi ya mitandao wanasema derby hiyo ni moja kati ya derby kubwa Afrika.Kuelekea mchezo huo naomba nikusogezee katuni au vibonzo maarufu vinavyopendwa kutumiwa na mashabiki wa timu hizo mbili, kupigana vijembe au kutambiana mitandaoni.BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.