Monday, 12 September 2016

Surprise ya King kiba Show ya Mombasa Yamtoa Povu Meneja wa Diamond Alusha Madongo Gizani

Unakumbuka Fiesta mwanza wasanii wote watakao tumbuiza walitangazwa ila kuna msanii mmoja alitumbuiza kama bonus au surprise

Hali hiyo ilijitokeza tena jana mjini mombasa ,mwanzo chama cha ODM kilitangaza Diamond atatumbuiza lakini baada ya show yake Alikiba nae alipanda kutumbuiza 
Uongozi wa diamond umeamua kurusha dogo upande wa pili kama ifuatavyo:

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM