
Baada ya video yake kuvutia views milioni 1 ndani ya siku mbili tu
tangu itoke, wimbo huyo umeyagusa masikio ya mtu maarufu kwenye filamu
za Nigeria, Chinedu Ikedieze anayejulikana zaidi kama Aki kwenye filamu
zake.

Akicomment kwenye post ya Diamond Instagram, Ikedieze amesema kuwa
haelewi kinachoimbwa kwenye wimbo huo lakini ameupenda na kwamba ni
shabiki wake mkubwa.


Aki na Ukwa wamekuwa na mashabiki wengi Afrika nzima kwa filamu zao za comedy.
No comments:
Post a Comment