Thursday, 1 September 2016

RC PAUL MAKONDA AUNGANA NA JWTZ KUFANYA USAFI DARRais John Pombe Magufuli aliagiza December 9 2015 iwe siku ya usafi nchi nzima, na agizo likatekelezwa kama ilivyoagizwa.

Lakini viongozi wa ngazi mbalimbali wengine walijipangia kwamba kila baada ya muda fulani ufanyike usafi kwenye maeneo mbalimbali…sasa leo Sept 1, 2016 Jeshi la Wananchi Tanzania katika maadhimisho yao ya miaka 52 limeungana na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufanya usafi wa jiji la Dar es Salaam.
Hizi ni baadhi ya picha kutoka kwenye kambi ya JWTZ Lugalo Dar es Salaam
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.
.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM