Wednesday, 28 September 2016

RAIS MAGUFULI AKERWA NA MITANDAO YA KIJAMII, ATAMANI MALAIKA AZIME KWA MWAKA MMOJA TU

'Natamani malaika ashuke azime mitandao ya kijamii, irudi baada ya mwaka mmoja ikute hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga''.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa ndege mbili aina ya Bombadier Q400,
Rais John Magufuli katika uwanja wa ndege wa Mwl Julius Nyerere jijini Dar es Salaam ambazo ndege hizo zimewasili nchini rasmi kutoka nchini Canada.

Magafuli alisema kuwa kwenye mitandao ya kijamii watu wengi wamekuwa na tabia ya kuandika bila kuwa na taarifa sahihi."No research no right to speak".

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM