Thursday, 1 September 2016

Rais Dkt JOHN MAGUFULI aipongeza JWTZ kwa kutimizia Miaka 52
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia jambo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange mara baada ya kuzungumza katika kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania  katika kikosi cha Usafirishaji wa anga (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania  Jeneral Davis Mwamunyange akiwa pamoja na Maafisa na wapiganaaji wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wakimpigia makofi Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt. John Pombe Magufuli wakati akizungumza katika kilele cha kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ Air Wing Ukonga jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akikagua moja ya ndege za Kivita wakati wa kilele cha Maadhimisho ya miaka 52 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ zilizofanyika katika Kikosi cha Usafirishaji wa anga  (Air Wing) Ukonga jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM