Monday, 19 September 2016

PICHA ZA ZIARA YA WASANII KWENYE KABURI LA ALBERT MANGWEA

Ikiwa ni Muendelezo wa Tamasha la Fiesta linalo wakutanisha wasanii wakali nchini Tanzania na kuzunguka Mikoa mbalimbali hapa nchini, leo ni zamu ya Morogoro ambapo wasanii na uongozi wa Clouds Media Group wametembelea kaburi la aliyekuwa mkali wa ‘Free Style’ michano Albert Mangwea.

Akizungumza kwa Niaba ya Clouds Media Group Sebastian Maganga ameeleza kuwa lengo la kudhuru kaburi hilo ni kukumbuka mchango wa msanii huyo kwenye Tasnia ya Muziki.
Ambapo Mama Mzazi wa Msanii huyo amefurahishwa na ujio huo na kuwaombea dua wasanii hao na uongozi wa Clouds Media Group wafanikiwe katika shughuli wanazo zifanya.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM