Saturday, 3 September 2016

Nay Wa Mitego amchimba mkwara mume wa Shamsa Ford

Nay Wa Mitego ameonekana kumchimba mkwara mwanaume aliyemuowa aliyekuwa mpenzi wake, Shamsa Ford.


Nay na Shamsa walikuwa na mahusiano mwaka 2015 japo mahusiano yao hayakufanikiwa kudumu kwa muda mrefu na kila mtu kufuata njia yake huku wakidai bado ni marafiki wa kawaida.

Kitendo cha kuolewa kwa Shamsa kinaweza kikawa kimemtoa povu rapper huyo kutokana na kipande cha video alichokiweka kwenye mtandao wake wa Instagram na kuandika ujumbe unaosomeka:

TANGAZO TANGAZO TANGAZOOOO๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก๐Ÿ˜ก
Naskia my #COUSIN Kaolewaaaa Sasa uyo aliyemuoa ipo siku nitampiga Tukio Kama hiiiiiiiiiii๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ๐Ÿƒ๐Ÿฟ
Nina hasiraaaaaaaa๐Ÿ”ซ๐Ÿ”ซ๐Ÿ˜ก๐Ÿ‘น

Shamsa Ford amefanikiwa kufunga ndoa Ijumaa hii na mpenzi wake mfanyabiashara wa maduka ya nguo Rashidi Said aka Chidi Mapenzi.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM