Tuesday, 6 September 2016

MZAZI FEKI WA MWANAFUNZI ACHALAZWA BAKORA NA WALIMU

Mwanza: Walimu wacharuka, wamtandika mama feki baada ya mwanafunzi kuambiwa alete mzazi akaenda kukodi mama. Mama feki alipohojiwa maswali kuhusu mwanae hana analoelewa ndipo walipo amua kutafuta namba ya mzazi kwenye vitabu wakapata kuuliza nyumbani hawana habari zozote za shule wala hawajatuma mtu ndipo Mkuu wa shule na wazazi halisi walipoamua kutoa fundisho kwa wengine wenye tabia kama hizo.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM