Friday, September 9, 2016

Haya ndio maisha ya Harmonize na Wopler, wanaishi kama familia

Wapenzi wawili Harmonize pamoja na Jacqueline Wolper wanaendelea kuuonyesha umma jinsi wanavyopendana. 4k0a2146x
Wawili hao Alhamisi hii walienda shopping pamoja na kufanya manunuzi ya vitu mbalimbali katika Mall moja hapa jijini Dar es salaam.
Hivi karibuni mwigizaji huyo alipost picha akiwa jikoni huku akiandaa chakula kwa ajili ya muimbaji huyo wa wimbo Matatizo. cds Harmonize akimkabidhi maharage Wopler
Hali hiyo imezua tetesi katika mitandao ya kijamii kuwa huwenda wawili hao wakawa wanaishi pamoja.
Angalia picha za mastaa hao walifanya manunuzi katika moja ya Mall hapa jijini Dar es salaam. 4k0a2146
a-a
a
ac
vvr
vvrdd
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.