Friday, 9 September 2016

Hamisa Mobetto Hana Tatizo na Uhusiano wa Majay na Lulu, Soma Ujumbe Aliowaandikia

Hakuna tena bifu kati ya Lulu na Hamisa Mobetto – angalau kwa kile Hamisa amekiandika kumpongeza mzazi mwenzake.

Hamisa amezaa na CEO huyo wa EFM mwenye uhusiano na Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kuna wakati warembo hao walidaiwa kurushiana vijembe.

Majay anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na Hamisa amepost picha ya DJ huyo mkongwe akiwa na Lulu na kuandika:

Happiest birthday To BaBa Squad (Baba caesar, Baba Fantasy& Baba G ..akija in Shaa Allah). Thank You for being baba bora wa mtoto wangu that am sure any woman could ask for katika hii dunia .
Thank You for taking good care of me & wanetu Katika Siku yako hii i wanna wish you all the best kwa hii dunia M/Mungu akufungulie milango yote yenye kheri na Baraka teley.. in shaa Allah ………… Happy birthday best friend Happy birthday mchizi wangu Happy birthday baba Watoto❣ @majizzo

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM