Saturday, 10 September 2016

BREAKING NEWZZ: TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAUKUMBA MIKOA YA MWANZA NA KAGERA

Tatemeko la ardhi limetokea mkoani Kagera leo mchana na kuacha wakazi wa mkoa huo katika hari ya taaruki. Kwa taarifa za mwanzo zinasema nyumba nyingi zimebomoka na hata nyingine kuachwa na nyufa. Kwa Taarifa kamili inakuijia hivi punde


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM