Friday, 9 September 2016

AJALI MBAYA IMETOKEA JANA ENEO LA PALM BEACH DARKuna ajali imetokea eneo la Palm Beach muda wa saa 12:15 asubuhi ya leo Alhamisi gari aina ya Altezza au Subaru limeharibika vibya maana likiwa vipande vipande kutokana na kugonga nguzo ya taa za barabarani.

Ni kama vile imepigwa Bomu, Sidhani kama kuna mtu katoka salama

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM