Tuesday, 16 August 2016

TAZAMA Jinsi Original Komedi walivyoingia ukumbini kwenye Harusi ya Mwenzao Masanja Mkandamizaji


Ni August 14, 2016 ambapo mchekeshaji kutoka kwenye kundi la Original Komedi, Emmanuel Mgaya aka Msanja Mkandamizaji aliziandika headlines baada ya kufunga ndoa na mchumba wake Monica katika kanisa la Mito ya Baraka Dar es Salaam.

Miongoni mwa walitoa burudani kwenye sherehe hiyo wakiwemo wachekeshaji wenzake kutoka kundi la Original Komedi, tazama video uone jinsi walivyoingia ukumbini.


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM