Monday, 15 August 2016

Video : Maalim‬ Seif na‬ Lowasa Walivyoshiriki Mazishi ya Rais Mstaafu wa Zanzibar Aboud Jumbe MwinyiFuata kiambatanisho cha hapo chini kuangalia namna ambavyo Katibu Mkuu wa chama cha Wananchi CUF, ‪‎Maalim‬ Seif Sharif Hamad na ‪Edward‬ Lowasa walivyoshiriki katika mazishi ya aliyekuwa rais wa pili wa Zanzibar Mzee Aboud Jumbe Mwinyi yaliyofanyika Migombani mjini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM