Thursday, 25 August 2016

Tyga matatani tena, mwenye nyumba mwingine aliyempangisha afikiria kumbuluza kortini

gettyimages-454798972-1
Baada ya hivi karibuni kumalizana na mwenye nyumba aliyekuwa anamdai, mwingine tena ameibuka akitaka kumbuluza mahakamani. Kwa mujibu wa TMZ, rapper huyo anadaiwa $182,275.89 na F&S Investment Properties.
Boyfriend huyo wa Kylie Jenner alikodi nyumba kwaajili ya kufanyia biashara na kuitelekeza huo Long Beach, Calif. Anadaiwa kuiacha katika hali ya uchafu.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM