Sunday, 28 August 2016

TAZAMA JEURI YA PESA ALIYOIONYESHA DAVIDO
Hitmaker wa ngoma ya “Fans Me” Davido ameendelea kufanya kufuru zake kwa kutumia pesa mpaka inataka kumzoea kwenye mambo ya bata na issue kama hizo.Ni baada ya kununua cheni yenye madii ya almasi (Diamond) yenye thamani ya pesa za ki-Nigeria Million 20 (N20m) na kuonekana akipeta nayo kwenye viwanja vya bata tu na washkaji zake.Kwa mtonyo huo ambao Davido katumia kununulia cheni hiyo kwa pesa za kibongo bongo ni zaidi ya Shilingi Million 127 za kitanzania.
Icheki hapa chini cheni hiyo ya Davido yenye thamani ya zaidi ya Mil 127.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM