Friday, August 19, 2016

Rais Magufuli amuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Ikulu leo

Jana August 18 2016 Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda na kumteua Mrisho Gambo kushika wadhifa huo. Leo August 19 Rais Magufuli amemuapisha Mrisho Gambo kuwa Mkuu wa mkoa wa Arusha Ikulu jijini Dar es salaam.
1....
.
3.,
Rais Magufuli na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kumuapisha Ikulu jijini Dar es Salaam.
4
Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo mara baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
2
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.