Wednesday, 31 August 2016

Ndege za Kivita za Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Zikivinjari Anga la Jiji la Dar es Salaam Leo Hii


Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kesho Septemba Mosi litaadhimisha miaka 52 tangu kuanzishwa kwa jeshi hilo. Katika maadhimisho hayo, jeshi hilo limeeleza kuwa litaadhimisha miaka 52 kwa kufanya usafi maeneo mbalimbali nchini.

Leo asubuhi zimeonekana ndege za JWTZ zikafanya mazoezi kati angala la jiji la Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya maadhimisho ya miaka 52.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM