Tuesday, August 16, 2016

MUUMIN APOTEZA MAISHA BAADA YA MCHUNGAJI KUSHINDWA KUFANYA MIUJIZAKatika harakati za kuonyesha miujiza ya Mwenyezi Mungu, Mchungaji mmoja kutoka huko Afrika Kusini, katika Kanisa la ‘The Mount Zion General Assembly’ aliyejulikana kwa jina la Lethebo Rabalango, kushindwa kuonyesha miujiza hiyo iliyoishia kwa mwanamke ambaye ni muumini wa kanisa lake kupoteza maisha baada ya kuwekewa spika nzito juu ya mwili wake alipokua amelala chini.
Mchungaji Lethebo Rabalango alimwalika mwanamke mmoja kwenye jukwaa na kumwambia alale chini na kisha kuaamuru wasadizi wake kumuwekea spika ya redio kubwa yenye uzito wa kilo 113.4, na kama hiyo haikutosha Mchungaji huyo akapanda na kukaa juu huku akisema mwanamke huyo hatapata maumivu yoyote kwa ajili ya nguvu na uwezo aliyonao Mungu. Na cha kushangaza mwanamke huyo alipoteza maisha papo hapo kutokana na uzito wa spika ile kusababisha madhara kwenye mfumo wa upumuaji wake

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


Total Pageviews

WATCH LEWIS MBONDE TV ONLINE

BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.