Sunday, August 28, 2016

MUME WA MTU ATIWA MBARONI KWENYE DANGURO

Njemba huyo akisihi kuachiwa baada ya sakata hilo.

NI aibu iliyoje! Mwanaume mmoja ambaye anadaiwa kuwa ni mume wa mtu, amekutwa ndani ya danguro moja lililopo Sinza ya Mapambano jijini Dar ikiwa ni mazingira ya kutatanisha.

Ishu hiyo ilijiri usiku wa manane wa Ijumaa kuelekea Jumamosi ya wiki iliyopita. Awali, Oparesheni Fichua Maovu (OFM) ya Global Publishers ilipokea taarifa kutoka kwa vyanzo vyake kuwa ndani ya danguro hilo, ameingia mwanaume huyo aliyeonekana kuwa na heshima zake na kwa vile inaeleweka vitu vinavyoendelea, vyanzo vilikuwa na wasiwasi naye!Bila kupoteza muda, kikosi kazi
cha OFM kilifuatilia eneo hilo na kufanikiwa kuingia ndani ya danguro hilo ambako walimkuta jamaa huyo akiwa anazungumza na wasichana watatu ingawa haikueleweka mara moja walikuwa wakizungumzia nini.
Mmoja wa changudoa hao akikurupushwa kutoka kwenye danguro hilo.
Baada ya kuwaona makamanda wa OFM, waliacha mazungumzo yao na kuwatumbulia, lakini walipoanza kupigwa picha, ukaibuka mzozo mpya baina ya watu hao wakisaidiwa na walinzi wanaolinda danguro hilo, dhidi ya waandishi.

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Search This Blog

Total Pageviews

BLOGGER:LEWIS MBONDE


HOTLINE:+255658194194

Email:lewismbonde@gmail.com
Morogoro,Tanzania
Nakaribisha maoni yenu.Kama una habari pia
waweza kututumia kwenye email yetu hapo juu


BOOK NOW MAMA G CATERING WAPISHI BORA WA SHEREHE BUSINESS NO:0754 887265 0652 887267 0673 538583

Translate

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

FIND US ON FACEBOOK

TUNATEMBELEWA DUNIANI KOTE

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Blog Archive

FLAG COUNTER

Flag Counter

BLOG PENDWA ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.