Wednesday, 24 August 2016

MJANE BI AMINA SALEHE MWENYE MIAKA 80 ANAOMBA MSAADA KUWEZA KUWALEA YATIMA 5 ANAOISHINAO
Mjane alipotembelewa na EWC kwa ajili ya kumuandikisha Annaberta Chimbuvu mwenye Tshirt Nyekundu

Anaitwa bibi Halima Salehe ana umri wa miaka80 katika zoez la uandikishaji wa wajane na yeye tulipelekwa kwake tumemsajili kwenye taasisi ya Empower Women and Children EWC. Bibi huyu ni mjasiriamali mdogo anauza mihogo ya kukaanga .changamoto alizonazo .kwanza ni mgonjwa inamlazimu kila siku mihogo yake atume mtu akamfatie na anamlipa.vile vile ana wajukuu 5 wote ni yatima mmoja ana mwaka mmoja anajua bibi yake ndo mama yake mwingine anaitwa Amina ana miaka 9 yupo darasa la kwanza mwajuma ana miaka kumi yupo darasa la tatu.mjukuu mwingine yupo darasa la sita .wote kwa pamoja anawahudumia pasipo kusaidiwa na watu.kuna msamaria mwema amemsaidia kila siku anamwagilia shamba anamlipa.changamoto anazozipata kwa watoto hawa pindi wanapoumwa anatumia gharama kubwa anahitaji kufunguliwa bima ya afya yeye na wajukuu wake.na msaada mwingine anaomba watu wamsaidie uniform za shule za watoto viatu nguo na matumizi ya watoto.Kwa atakayeguswa kwa chochote kile kwa ajili ya kusaidia familia hii anaweza akatuma msaada wake kupitia no hizi+255688470244 au +255714090775

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM