Wednesday, August 17, 2016

Timu ya Simba Sasa Kuendeshwa Kwa Hisa..Mo Dewji Akabithiwa Timu


Kamati ya utendaji ya Klabu ya Simba August 15 2016 ilikutana na mkurugenzi mtendaji mkuu wa makampuni ya Mohammed Enterprises Limited (MeTL) Mohammed Dewji ambaye aliomba kununua asilimia 51 ya hisa za Simba kama mfumo ukibadilika na kuanza kuendeshwa klabu hiyo kwa hisa, leo August 17 Simba wametoa makubaliano yao walioafikiana katika kikao chao cha pamoja.
14697730421469773042
Katika taarifa ambayo imetolewa na msemaji wa Simba, Haji Manara kuhusu mazungumzo yaliyofanywa na kamati ya utendaji ya Simba na Mohammed Dewji MO imeeleza kuwa kamati ya utendaji ya Simba kwa pamoja na MO wamefikia makubaliano ya kufanya mabadiliko ya uendeshwaji wa klabu kuwa wa hisa.
Simba-Mfumo-01
Simba-Mfumo-02
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

Total Pageviews

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.