Friday, 19 August 2016

Huyu ni mrembo wa SA aliyeonekana kwenye video za Diamond na Alikiba

Vita vya panzi ni furaha kwa kunguru. Mwanamitindo kutoka Afrika Kusini amebahatika kutokea kwenye video za wasanii heavyweight wa Bongo, Diamond na Alikiba.
usher-master-p-gucci-travis
Mrembo huyo ambaye anatumia jina la caelergangm kwenye mtandao wa Instagram, kwa mara ya kwanza amebahatika kuonekana kwenye video mpya iliyotoka hivi karibuni ya ‘Watora Mari’ ambayo Diamond ameshirikishwa na staa kutoka nchini Zimbabwe, Jah Prayzah.
Kenya
“Amazing video 🙂 go check out the link in the bio of @jahprayzah Great working with you D,” ameandika mrembo huyo kwenye mtandao wake wa Instagram kwenye moja ya picha alizopiga na Diamond.
Siku chache zilizopita hitmaker wa ‘Aje’ aliweka kipande cha video kinachomuonyesha akiwa mwanamitindo huyo, Barakah da Prince na warembo wengine ndani ya nyumba moja huko Afrika Kusini ambapo kuna uwezekano mkubwa eneo hilo lilikuwa ni location.
2Q==
Mrembo huyo anaweza akawa ndio video vixen wa wimbo huo mpya wa Alikiba ambao jina lake linadaiwa kuwa ni ‘ Kajiandae’. “@officialalikiba #kingkiba :),” ameandika mrembo huyo kwenye kipande cha video akiwa na Alikiba.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM