Wednesday, 17 August 2016

Hatua nane zilizochukuliwa na serikali baada ya uhakiki wa mikopo ya wanafunzi


Wizara ya elimu, sayansi na teknolojia iliunda timu ya kuhakiki wanafunzi kwenye taasisi za elimu ya juu nchini ili kujiridhisha na uhalali wa wanafunzi wanaopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu. Baada ya uhakiki huo leo August 17 2016 Waziri wa elimu, Prof. Joyce Ndalichako ametoa taarifa ya zoezi la uhakiki wa wanafunzi wanufaika wa mikopo kwenye vyuo vya elimu ya juu nchini.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM