Tuesday, 16 August 2016

Fahamu kuhusu maana sahihi ya maneno Lodge na Motel

Kuna vitu ambavyo unakutana navyo kila siku na inawezekana uelewi maana yake au sio sahihi na wala hukuwahi kujua kama sio sahihi, sasa kuna sehemu mbalimbali ambazo zinatoa huduma za hoteli zimeandikwa Lodge, Mkurugenzi wa utalii, Zahoro Kimwaga ametoa ufafanuzi wa maneno Logde na Motel………..
>>>Tunaposema logde, lodge ni huduma ya kulala wageni ambayo iko kwenye vivutio vya utalii, ndio maana ukiangalia Serengeti ziele zinaitwa Lodge, karibu huduma zote zilizopo kule, ni tafsiri na ni kutumia jina vibaya kuandika Dar es salaam nyumba ya kulala wageni logde hapa zinaitwa town hotel.
>>>Motel ni aina ya hotel ambayo inajengwa kwenye barabara kuu na sifa yake moja wapo inaweza ikawa na petrol station pale‘;-Kimwaga


No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM