Monday, 29 August 2016

DIAMOND PLATNUMZ AMPA MAKAVU LIVE SHABIKI ALIYE MWAMBIA ANAM-COPY NEYOKila mtu na mtazamo wake kimuono ambavyo yeye anafikiria ndivyo wakati vilevile inaweza ikawa sivyo.
Tumezisikia shutuma nyingi sana zikimshukia mmakonde Harmonize kuhusu kum-copy bosi wake Diamond Platnumz na mara kibao Harmonize amekuwa akijitetea kivyake vyake lakini sasa ni zamu ya Diamond platnumz.
Ni baada ya shabiki mmoja kumshukia msanii huyo katika mtandao wa Instagram kwamba anam-copy msanii mkali wa RnB nchini Marekani Neyo.
Alichomjibu Diamond ni kwamba siyo kum-copy tu na sasa yupo kwenye ndege kuelekea Los Angeles kushoot video ya ngoma yake mpya na msanii huyo.
Unaweza kutazama hapa jinsi ilivyo kuwa 
Comments za Instagram
Wapenzi wa Burudani wa Mkoani Mwanza walipata nafasi ya kuisikiliza collabo ya Diamond Platnumz naNeyo miezi michache iliyopita kwenye tamasha la Jembeka Festival wakati mkali huyo alipo dondoka Bongo.
Taarifa ndo hizo kwa wapenzi wa burudani, video ya Diamond na Neyo inakuja muda si mrefu.

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM