Tuesday, 30 August 2016

BREAKING NEWZZ:KATIBU WA CHADEMA MKOA WA MWANZA AHAMIA CCMKatibu wa Chadema Mkoa wa Mwanza John Thobius Nzwalile amejiuzulu nafasi zake ndani ya chama hicho na kuhamia CCM kutokana na kukerwa na oparesheni UKUTA ambayo imelenga kuleta vurugu nchini. Amenukuliwa akisema "Nimejaribu sana kuwaonya wenzangu kuchana na huo ujinga lakini hawasikii"No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM