Sunday, 28 August 2016

BAADA YA DAVIDO, SASA NI WIZKID KUDONDOSHA WINO SONY MUSIC WORLDWIDEBaada ya January mwaka huu mkali kutoka Nigeria Davido kutangazwa kupata deal la kusaini mkataba na kampuni kubwa ya muziki Duniani Sony Music Worldwide sasa ni zamu ya Wizkid.


Kwa mujibu wa TheNETng ni Exclusive mkali Wizkid anaenda kusaini mkataba wa kimataifa na kampuni ya Sony Music Worldwide muda wowote kuanzia sasa.
Hatua hiyo itakuwa ni muendelezo wa harakati za msanii Wizkid katika kuufikisha muziki wake katika uso wa Dunia. Na pia ni hatua kubwa kwa kwa muziki wa Nigeria ukiangalia miezi michache iliyopita pia mwanadada Tiwa Savage kutoka nchini humo pia alidondosha wino kwenye karatasi za lebel kubwa ya muziki Duniani Roc Nation ambayo inamilikiwa na mtu mzima Jay Z.Kipindi Davido akidondosha sain kwenye kampuni hiyo

No comments:

Post a Comment

FIND US ON FACEBOOK

Followers

FOLLOW ME ON INSTAGRAM