Thursday, August 18, 2016

AMRI 10 ZA KUMFANYA MWANAMKE AWE NA FURAHA


Hizi Ndio Amri 10 Za Kumfanya Mwanamke Awe na Furaha.

1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE M.
1. MPIGIE SIMU HATA MARA 1 KWA SIKU KUMJULIA HALI. UKIBANWA SANA, JARIBU KUMTUMIA HATA UJUMBE MFUPI KUONYESHA UNAMJALI.

2. MSIKILIZE KWA MAKINI WAKATI AONGEAPO.

3. CHUNGUZA KWA MAKINI VITU ANAVYOPENDA NA ASIVYOPENDA.
4. MSIFIE/MPONGEZE VIZURI NA KWA DHATI MARA NYINGI IWEZEKANAVYO.
5. MNUNULIE KADI AMA MAUA, WAKATI MWINGINE.SIO LAZIMA VYA BEI MBAYA.

6. MPELEKE KWA CHAKULA CHA JIONI. SIO LAZIMA IWE HOTEL YA NYOTA 5 KILA SIKU. SEHEMU YEYOTE NZURI ITAFAA.
7. KUWA NA UPENDO, SIO FUJO. MAHITAJI YAKE DAIMA YAJE KABLA YA KWAKO.
8. FANYA MAMBO UPENDAYO (KUTAZAMA SOKA, KUOGELEA N.K), PIA FANYA BAADHI YA VITU APENDAVYO KUFANYA YEYE (KUTAZAMA FILAMU, KWENDA KUNUNUA MAHITAJI INAPOTOKEA N.K) ILI FURAHA YENU IKUTANE.
9. MNUNULIE VITU VYENYE MAANA NA ATAKAVYOFURAHIA. SIO LAZIMA IWE IPHONE 6, HATA SHUKA ZURI LITAMFAA PIA.
10. ONANA NAYE MARA KWA MARA KADRI IWEZEKANAVYO.
BONYEZA HAPO CHINI KUITAZAMA FRANCIS CHEKA TV
Share:

0 comments:

Post a Comment

TOA MAONI YAKO HAPA KUHUSU HABARI HII

ANGALIZO:TUNAOMBA UTUMIE LUGHA NZURI MAONI YENYE LUGHA CHAFU HAYATAKUBALIKA

BONYEZA HAPO CHINI

Total Pageviews

WATCH FRANCIS CHEKA TV

OWNER:LEWIS MBONDE

Mawasiliano Yangu +255 658 194 194 Email:lewismbonde@gmail.com Kama una habari tafadhali tutumie kupitia email yetu Morogoro,Tanzania

HABARI MPYA


Recent Posts Widget

Translate

Blog Archive

FIND US ON FACEBOOK

FOLLOW ME ON INSTAGRAM

BLOG ZA MARAFIKI

Powered by Blogger.